Studio ya michezo · TanzaniaGame studio · Tanzania

Michezo ya kisasa kutoka Tanzania.Modern games from Tanzania.

Tunatengeneza michezo ya haraka na ya kufurahisha inayochezwa kwenye simu yoyote.We make fast, fun games that run on any phone.

BAMBA

Arcade mfukoni. Michezo tisa, bure.A pocket arcade. Nine games, free.

Matofali, Hoki, Panya, Mistari na zaidi. Cheza na rafiki simu kwa simu, mtumie changamoto kwa WhatsApp, au mshinde Zazzy.Bricks, air hockey, whack-a-mole, light cycles and more. Play a friend phone to phone, send a challenge on WhatsApp, or beat Zazzy.

AndroidiPhoneBila matangazoNo adsCheza na rafikiPlay a friend
Hoki Panya Mistari

Tumetengeneza injini yetu wenyewe.We built our own engine.

Focus Play ni kitengo cha michezo cha Focus Animation Studios, Tanzania. Michezo yetu inaendeshwa na injini tuliyoiandika wenyewe kwa C++, ndiyo maana ni myepesi na inakwenda vizuri hata kwenye simu za kawaida.Focus Play is the games label of Focus Animation Studios in Tanzania. Our games run on an engine we wrote ourselves in C++, so they stay light and smooth even on everyday phones.